Wafanyibiashara walalamika uhaba wa wateja kufuatia kuongezeka kwa bei za bidhaa mbalimbali

  • | K24 Video
    40 views

    Siku 4 sasa tangu bei ya mafuta ya petroli iongezeke na athari ya mabadiliko hayo imeanza kushuhudiwa wafanyibiashara wengi wanasema wamelazimika kupandisha bei ya bidhaa muhimu hususan vyakula jambo ambalo wanadai imepunguza idadi ya wateja sekta ya uchukuzi wa umma pia imeathirika huku wamiliki wa matatu wakiongeza nauli kukabiliana na ongezeko la bei ya mafuta. Athari ya kupanda kwa bei ya mafuta katika baadhi ya masoko