Kamati ya mazungumzo baina ya serikali na upinzani kuendelea kupokea maoni

  • | K24 Video
    27 views

    Kamati ya mazungumzo baina ya serikali na upinzani itaendelea kupokea maoni kutoka kwa umma na washikadau mbalimbali hadi Ijumaa. Wadau mbali mbali watapata mualiko wa kutetea mapendekezo yao mbele ya kamati hiyo ya Bomas kwa kipindi cha wiki moja. Licha ya baadhi ya wanachama hao kuiitisha bajeti ya kufadhili shughuli zake, wamesema ni kazi ya kujitolea tu na wala hawapati marupurupu yoyote.