- 206 viewsKufuatia ukame mkubwa ulioangamiza zaidi ya mifugo na wanyama pori milioni 10 katika eneo la Pembe ya Africa, viongozi wa kijamii kutoka mataifa ya Afrika Mashariki na Kati wamekutana Kenya kujadili njia za kiasili za kuhifadhi mazingira pamoja na wanyama. Mkutano huo unalenga kuimarisha njia za kitamaduni katika vita dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa. Juma Majanga anaripoti kamili kutoka Amboseli, Kenya. Endelea kusikiliza... #ukame #mifugo #wanyamapori #pembeyaafrika #viongozi #kijamii #afrikamashariki #mazingira #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Viongozi wa kijamii wakutana Kenya kujadili njia za kiasili za kuhifadhi mazingira na wanyama
- 13 Jul 2025 - Talks aimed at securing a ceasefire in Gaza are stalling over the extent of Israeli forces' withdrawal from the Palestinian enclave, Palestinian and Israeli sources familiar with the negotiations in Doha said on Saturday.
- 13 Jul 2025 - The U.N. and the Dutch foreign ministry said on Friday they had cancelled an LGBTQ-themed event in Senegal after the West African nation warned of repercussions for organisers and voiced opposition to all "promotion of the LGBTQI phenomenon".
- 13 Jul 2025 - ODM party leader Raila Odinga has defended his proposal for the formation of a national conclave to chart a new path through collective civic engagement.
- 13 Jul 2025 - Interior Principal Secretary Raymond Omollo on Saturday, July 12, 2025, came to defend his boss, President William Ruto, after his shoot-to-maim order sparked public outcry. In a video shared on his official X page, PS Raymond Omollo insisted that Ruto…
- 13 Jul 2025 - Ex-spy master Boinnet lifts lid on intelligence reform battles
- 13 Jul 2025 - While Ruto stutters, unemployment threatens to fuel a youth revolution
- 13 Jul 2025 - President Ruto's loyal attack dog barks loud but he can't bite you!
- 13 Jul 2025 - Why July 7 protests were a nightmare
- 13 Jul 2025 - Abandoned but not alone: Babies with disabilites find hope at KNH
- 13 Jul 2025 - The President is beating drums of war against his own people