Mzazi aliyepata mtoto mwenye tatizo la mtindio wa ubongo maarufu 'Celebral Palsy'

  • | K24 Video
    41 views

    Leo tunamwangazia Carol Chege mzazi aliyepata mtoto mwenye tatizo la mtindio wa ubongo maarufu Celebral Palsy anasema ilichukuwa muda kabla ya kugundua alichokuwa anauguwa mtoto wake tatizo hilo la mtoto wake lilisababishwa na uchungu wa muda mrefu wakati wa kujifungua na kujifungua kwa njia ya kawaida badala ya upasuaji