Waziri Aisha asema serikali inapanga kuanzisha vya kuwahudumia waathiriwa wa dhuluma za kijinsia

  • | K24 Video
    94 views

    Waziri wa utumishi wa umma na jinsia Aisha Jumwa amesema serikali inapanga kuanzisha vituo zaidi vya kuwahudumia waathiriwa wa dhuluma za kijinsia . Ametoa pendekezo la huduma zote za fomu za p3 kwa waathiriwa wa dhuluma za kijinsia kupeanwa bure