Skip to main content
Skip to main content

Ushindani mkali wa kisiasa watarajiwa katika kaunti ya Garissa

  • | KBC Video
    144 views
    Duration: 2:01
    Ushindani mkali wa kisiasa unatarajiwa katika kaunti ya Garissa huku orodha ya wale walioeleza azma ya kujitosa kwenye kinyang’anyiro cha ugavana ikiongezeka kila uchao. Aliyekuwa gavana, Ali Bunow Korane tayari ametangaza atawania wadhifa huo kwa tiketi ya chama cha UDA. Korane anasema uamuzi wake unalenga kuimarisha ajenda ya serikali ya Kenya Kwanza katika kaunti hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive