Harakati za kukomesha uchomaji wa makaa kaunti ya Kwale

  • | K24 Video
    43 views

    Katika harakati za kukomesha uchomaji wa makaa kwa ajili ya kuhifadhi mazingira ,zaidi ya watu elfu mbili katika eneo bunge la Lungalunga, kaunti ya Kwale, watanufaika na teknolojia mpya ya utengezaji makaa. teknolojia hiyo ni ya kutumia mashine za kisasa bila ya kukata miti katika misitu kama malighafi.