Wizara ya afya na wadau wengine wazindua mpango wa kudhibiti athari za afya ya uzazi kwa vijana

  • | K24 Video
    21 views

    Wizara ya afya na wadau wengine wamezindua mpango wa kudhibiti athari za afya ya uzazi kwa vijana. Mpango huo utalenga changamoto za mimba za mapema na maambukizi ya virusi vya ukimwi. Bado kuna changamoto kubwa ya ukosefu wa vifaa muhimu katika vituo vya matibabu.