Wanafunzi kutoka familia maskini wapewa karo za shule huko Makueni

  • | Citizen TV
    239 views

    Wanafunzi elfu 18 katika kaunti ya makueni wamepata ufadhili wa masomo yao wa takriban shilingi milioni 114 kutoka kwa serikali ya kaunti.