Mradi wa NiE: Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Wasichana ya ABC Mitaboni waonyesha vipaji vyao tofauti

  • | NTV Video
    402 views

    Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Wasichana ya ABC Mitaboni iliyoko kaunti ya Machakos walipata fursa ya kuonyesha umahiri wao wa talanta ya utangazaji pamoja na sanaa ya uwanamitindo baada ya kutembelewa na baadhi ya wakuu wa (NMG) wakati wa hamasisho la mradi wa (NiE).

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya