Muungano wa wauguzi Nyamira yatoa ilani

  • | Citizen TV
    76 views

    Wenyeji wa eneo la Rangenyo, kaunti ndogo ya Nyamira kusini wametoa wito kwa serikali za kaunti na kitaifa kuweka vifaa vya kudhibiti radi katika taasisi za umma ili kuzuia visa vya watu kupigwa na radi katika eneo hilo.