Jamaa wawili wasalimisha bunduki haramu, Narok

  • | Citizen TV
    250 views

    Sherehe za siku ya amani ulimwenguni zilizosharimi katika uwanja wa kihistoria wa Olashapani Narok kusini zilisheheni shangwe baada ya wanaume wawili kujisalimisha na kukiri kumiliki bunduki kinyume na sheria.