Wanawake mashinani wafunzwa kuhusu uchumi

  • | Citizen TV
    108 views

    Mashirika mbalimbali ya kijamii yameanzisha mchakato wa kuelimisha wanawake katika maeneo ya mashinani kuhusu mbinu mbadala za kujiendeleza kiuchumi na kujisimamia. hatua hiyo inaaminika itarejesha hadhi ya akina mama na kuwapa sauti katika jamii. James latano na taarifa hiyo kutoka Homa-Bay.