Harun Hassan: Matamshi ya Kuria ni ukosefu wa kujua kazi yako

  • | TV 47
    4 views

    Mtaalam wa masuala ya kisiasa Harun Hassan amemkosoa vikali Waziri wa Biashara Moses Kuria kwa kuwaambia Wakenya wachimbe visima vyao vya mafuta iwapo bei ya mafuta nchini ni ghali.

    Hassan anasema kuwa kauli ya Moses Kuria ni sawa na kutojua kazi yake na imeua matumaini miongoni mwa Wakenya waliowapa mamlaka mwaka jana.

    "Matamshi ya Moses Kuria (Wakenya kuchimba visima vya mafuta) ni ukosefu wa kujua kazi yako," Hassan amesema.

    #TV47Wikendi

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __