- 185 viewsKulingana na Taasisi ya Afya ya Kitaifa ya Marekani, majanga asilia na yale yasababishwayo na binadamu huathiri mamilioni ya watu duniani kila mwaka. Wataalam wanashikilia kwamba majanga hayo yanaathiri afya ya umma moja kwa moja, yakiwemo majeraha ya mwili, magonjwa, na athari za kisaikolojia. Vile vile, majanga hayo yanaweza kuleta vifo, kuongeza kusambaa kwa magonjwa ya kuambukizwa, na kuharibu miundo mbinu, vituo vya afya vilijumuishwa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
MAISHA NA AFYA - ATHARI ZA MAJANGA KATIKA AFYA YA BINADAMU
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- 16 Jul 2025 - The labor minister in economically depressed Cuba resigned Tuesday amid an uproar over her claim that people rummaging through garbage cans were only pretending to be poor and not truly desperate.
- 16 Jul 2025 - Nigeria's former President Muhammad Buhari was buried on Tuesday in the backyard of his home in northern Katsina state, as residents climbed trees to bid farewell to the 82-year-old.
- 16 Jul 2025 - Israeli strikes on the Bekaa Valley in eastern Lebanon killed 12 people on Tuesday, Lebanese state media reported, as the Israeli army said it hit Hezbollah targets in the area.
- 16 Jul 2025 - A religious party has quit Israel's ruling coalition in a dispute over military service, leaving Prime Minister Benjamin Netanyahu with a razor-thin majority in parliament but still enough political support to secure a potential Gaza ceasefire.
- 16 Jul 2025 - Indonesian authorities have detained 12 suspects after uncovering an alleged baby trafficking ring that sent more than a dozen infants to Singapore, a police official told AFP on Tuesday.
- 16 Jul 2025 - Alego Usonga MP and National Assembly Budget Committee Chairperson Sam Atandi has launched a fierce attack against his
- 16 Jul 2025 - The construction period is set at 36 months.
- 16 Jul 2025 - The disease has so far claimed four lives.
- 16 Jul 2025 - The first incident happened in the Amagoro area, Busia County, where the body of a woman was found.
- 16 Jul 2025 - Former Roots Party presidential running mate Justina Wamae has opened up about why she turned down a job