Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa serikali Kiserian wafanya mkutano wa amani

  • | Citizen TV
    124 views
    Duration: 1:37
    Ongezeko la matukio ya wizi, mauaji na uhalifu mwingine katika mji wa Kiserian kaunti ya Kajiado, limewachochea Maafisa wa serikali kuu na Ile ya kaunti kuandaa kikao cha usalama na wananchi ili kutafuta suluhu ya kumaliza uhalifu huo.