- 401 viewsDuration: 7:21Rais William Ruto anaendelea na ziara yake Pwani kwa kuzuru kaunti ya Mombasa hii leo. Rais Ruto anatazamiwa kuzindua reli ya kutoka Miritini hadi katikati mwa jiji la Mombasa, kukagua barabara ya Jomvu pamoja na kutoa hatimiliki kwa wakazi wa Chaani.