17 Sep 2025 10:33 am | Citizen TV 44 views Duration: 1:41 Kundi moja la vijana kutoka kaunti ya Garisaa limepokea mafunzo ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kuu na ya kaunti ili kuhakikisha matumizi bora wa pesa za umma.