17 Sep 2025 10:44 am | Citizen TV 77 views Duration: 1:38 Serikali ya kaunti ya Migori imefungua rasmi Kituo cha afya ya watoto wachanga katika hospitali ndogo ya kaunti ya Awendo.