Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa Nyantaro wanalazimika kusomea chini ya miti

  • | Citizen TV
    101 views
    Duration: 2:45
    Watoto katika shule ya chekechea ya Nyantaro eneo la Kitutu huenda wakakosa kwenda shuleni kutokana na mazingira mabaya shuleni humo. Mbali na kuwa wanafunzi hawa wanalazimika hata kusomea chini ya miti, mvua iliyonyesha eneo hilo imetatiza masomo yao.