Kesi inahusiana na mauaji ya Julia Muthoni

  • | Citizen TV
    4,210 views

    Kumekuwa na kizaazaa nje ya mahakama ya Mukurwe-ini katika Kaunti ya Nyeri ambapo mshukiwa wa mauaji ya Julia Muthoni aliyeuawa miezi sita iliyopita aliachiliwa.