Ifahamu China: Maonesho ya magari ya Shanghai

  • | KBC Video
    40 views

    Watengenezaji wakuu wa magari kutoka maeno mbalimbali duniani wanaonesha umahiri wao katika uundaji magari kwenye maonesho ya magari ya Shanghai. Maonesho ya mwaka huu yamejikita zaidi katika magari yanayotumia umeme.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive