Daktari mbunifu kutoka Tanzania Emanuel Mushi, amebuni teknolojia maalumu tatu kwa pamoja: Local New-baby Thermal Control, Incubator baby na Enabranes Nest ambazo zinasaidia kukabiliana na matatizo yanayohusiana na joto la mwili kupungua kwa watoto wachanga.
-
Vifaa hivyo ambavyo amevitengeneza kwa njia ya kienyeji, vimesaidia kuokoa maisha ya watoto karibu 2000 katika Zahanati ya Mererani
Yusuph Mazimu amemtembelea huko Mererani Manyara na kuandaa taarifa hii.
#bbcswahili #tanzania #afya
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
17 Jul 2025
- President William Ruto has stepped in to resolve the escalating dispute over the Baba Dogo grounds in Ruaraka, Nairobi, ordering an immediate withdrawal of police officers stationed at the contested site.
17 Jul 2025
- An Israeli strike on Gaza's only Catholic church killed two people on Thursday, the Latin Patriarchate of Jerusalem said, as Israel said it "never targets" religious sites and regretted any harm to civilians.
17 Jul 2025
- Students of Mawego National Polytechnic in Homa Bay County have written to the interior Principal Secretary Raymond Omollo requesting for the reinstatement of Mawego police station to curb the rising cases of insecurity in the area.
17 Jul 2025
- Kirinyaga Deputy Governor David Githanda has asked residents to protect businesses and other investments that they depend on for livelihood from looting and destruction.