Kiasi cha watoto 500 wamefariki kwa njaa nchini Sudan

  • | VOA Swahili
    220 views
    Ungana na mwandishi wetu akikuletea hali ya watoto ambao wanakabiliwa na utapiamlo katika katika kituo cha afya mjini Khartoum. Watoto hao na familia zao zimelazimika kukimbia makwao tangu kuanza vita nchini humo. Endelea kusikiliza. #sudan #kambi #chad #wagonjwa #matibabu #utapiamlo #voa #voaswahili #dunianileo #njaa - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.