17 Sep 2025 1:19 pm | Citizen TV 296 views Duration: 1:46 Kampuni ya kuzalisha umeme ya KENGEN inapanga kuongeza megawati 200 za umeme wa upepo katika kaunti ya Marsabit kama sehemu ya kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya umeme nchini.