- 1,700 viewsDuration: 3:30Kutokana na kupungua kwa idadi ya Korongo wenye rangi ya kijivu baadhi ya watu wanaoenzi ndege huyo kaunti ya Nandi wakishirikiana na wanamazingira wameanzshisha mchakato wa kuokoa ndege huyo ambaye yuko katika hatari ya kuangamia.