Kesi ya mauaji ya Assad Khan | Shahidi asema Assad na Maxine walikuwa wakigombana

  • | Citizen TV
    4,899 views

    Jirani wa marehemu Asad Khan, aliyefariki katika hali tatanishi baada ya kuvuja damu nyumbani kwake katika mtaa wa Kileleshwa mwezi Desemba mwaka jana ameelezea matukio ya siku hiyo katika kesi ya mauaji inayomhusisha dereva wa magari ya safari Rally Maxine Wahome. Chemutai Kipkorir aliiambia mahakama kwamba Assad na Maxine walikuwa wakipigana na kuzozana mara kwa mara