Raila akashifu mpangilio wa serikali wa kugeuza Bandari ya Mombasa kukombolewa na watu binafsi

  • | Citizen TV
    6,213 views

    Kinara wa muungano wa Azimio Raila Odinga amesema kwamba mrengo huo utaendelea kuwatafutia waathiriwa wa maandamano haki nje ya mazungumzo ya kitaifa yanayoendelea. Odinga ambaye aliongoza mkutano wa viongozi wa Azimio jijini Mombasa vile vile amekashifu mpangilio wa serikali wa kugeuza Bandari ya Mombasa kukombolewa na wawekezaji wa kibinafsi, na kusema kwamba wakazi na Viongozi wa pwani hawataruhusu hilo lifanyike.