Gavana Lomorukai ataka uchunguzi kuhusu biashara haramu ya ulanguzi wa watu ufanywe

  • | NTV Video
    32 views

    Gavana wa Turkana Jeremiah Lomorukai amezitaka asasi za kiusalama kuingilia kati na kuchunguza biashara haramu ya ulanguzi wa watu anayodai inaendeshwa na baadhi ya watu mashuhuri wakiwemo wanasiasa wa humu nchini.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya