- 393 viewsFamilia ya Dr Salim Ahmed Salim aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi huru Barani Afrika OAU na Waziri Mkuu wa Tanzania washirikiana kuunda makumbusho ya kidigitali ikiwa na hatua ya kujenga historia mpya na kwenda na wakati kutokana na kizazi kipya kuwa na utashi zaidi wa kupata historia kwa njia ya mitandao ya kijamii. Sikiliza mtoto wa Dr Salim akieleza mkakati huo wa kidigitali juu ya kumbukumbu ya baba yake... #tanzania #kumbukumbu #kidigitali #katibumkuu #umojawanchihuru #afrika #salimahmedsalim #wazirimkuu #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Mtoto wa Dr Salim Ahmed Salim aeleza mkakati wa kufikisha kumbukumbu ya mzazi wao kwa vijana
- 17 Jul 2025 - The Israeli army launched a new round of strikes near the Syrian army and defence ministry headquarters on Wednesday, state-run television said, after Israel warned Damascus against targeting the Druze community.
- 17 Jul 2025 - U.S. President Donald Trump's tariffs on South Africa could cause around 100,000 job losses, with the agriculture and automotive sectors hardest-hit, central bank governor Lesetja Kganyago said on Wednesday.
- 17 Jul 2025 - Ethiopia has arrested dozens of suspected Islamic State militants, who it claimed have been trained and deployed to carry out operations across the country, the state-affiliated Fana broadcaster reported.
- 17 Jul 2025 - The government is set to review the six-to-six curfew imposed in Kainuk, Turkana, over the last three years to curb the runaway insecurity.
- » 'It wasn't me!' Police officer linked to Rex Masai killing maintains despite video evidence, phone data17 Jul 2025 - IPOA on Wednesday presented evidence that placed the main suspect in the killing of Rex Masai, police officer Isaiah Murangiri, near the scene of the crime.
- 17 Jul 2025 - Isiolo Governor Abdi Guyo has issued a strong statement condemning the politicisation of recent tragic incidents in the
- 17 Jul 2025 - HIV prevention jab set for roll-out next year as key groups hail relief
- 17 Jul 2025 - How officials swindled Sh2.2b from students' health scheme
- 17 Jul 2025 - Will Bonface Ambani restore the lost glory in the den?
- 17 Jul 2025 - Raila has been a voice for the voicelessnothing has changed