VOA kwa kushirikiana na Azam TV, Tanzania na Citizen TV, Kenya wanakuletea Jarida la Wikiendi

  • | VOA Swahili
    321 views
    Kuanzia tarehe 1 Oktoba, VOA kwa kushirikiana na Azam TV, Tanzania na Citizen TV, Kenya wanakuletea Jarida la Wikiendi kipindi kipya chenye uchambuzi, makala maalum, teknologjia na mengine mengi. Pia tunapatikana kupitia televisheni zingine washirika kote AFrika Mashariki na Kati. Usikose… #azamtv #tanzania #citizentv #kenya #jaridalawikiendi #kipindikipya #uchambuzi #makalamaalum #afrikamashariki #voa #voaswahili