- 229 viewsDuration: 2:22MASAIBU YA WAITITU Mahakama yatupilia mbali ombi la Waititu Waititu alitaka kifungo chake cha miaka 12 kifutiliwe mbali Waititu alihukumiwa kifungo gerezani kwa madai ya ufisadi GAVANA KIZIMBANI Upande wa mashtaka wapata siku-30 kuwasilisha hati kwa Barchok Gavana Barchok wa Bomet anatuhumiwa kwa ufisadi MIZANI YA HAKI Orodha ya mashujaa iliyopendekezwa yapingwa Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive