Serikali imeboresha muundombinu, kuwaajiri wahadhiri zaidi na kuongeza vifaa vya mafunzo katika vyuo vya mafunzo ya utabibu ili kukidhi hitaji lililoko. Waziri wa afya Aden Duale, aliyeongea jijini Nairobi wakati wa uzinduzi wa magari yatakayosambazwa kwenye vyuo hivyo alisema shughuli za uchukuzi zinasalia kuwa nguzo muhimu ya mafunzo ya utabibu na utoaji huduma.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive