7,059 views
Duration: 28:11
Kumekuwa na ulinzi mkali nchini Uingereza, huku maandamano yakitarajiwa kote nchini humo wakati wa ziara ya pili ya kitaifa ya rais wa Marekani Donald Trump ambayo imeanza rasmi.Trump na mkewe walilakiwa katika kasri la Windsor na Mwanamfalme wa Wales Jumatano asubuhi. Kisha, Mfalme na Malkia waliungana nao kwa msafara uliohusisha gari maalum la kifalme kupitia eneo la Windsor estate, huku dhifa ikitarajiwa kuandaliwa baadaye leo jioni.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw