Wadau wataka walimu zaidi waajiriwe kaunti ya Bomet

  • | Citizen TV
    142 views

    Serikali ya kitaifa kupitia wizara ya Elimu imetakiwa kuwekeza zaidi Katika Elimu ya watu wazima yaani ngumbaru Ili kuinuia viwango vya kujua kusoma na kuandika nchini.