- 1,038 viewsDuration: 2:40Maelfu ya wapalestina wanaendelea kuondoka mji wa Gaza siku moja tu baada ya Israel kuanzisha mashambulizi ya ardhini dhidi ya Hamas. Wakaazi waliokuwa wanaondoka walipandisha vitu vyao katika magari yaliyojaa huku wengine wakiamuwa kutembea. Jeshi la Israel limesema litafungua njia nyingine kupitia eneo la katikati. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw