Daktari Mukwege amewasilisha ombi la kuwania nafasi ya urasi kwenye Tume huru ya uchaguzi DRC

  • | VOA Swahili
    268 views
    - - - - - Baada ya kutangaza nia yake ya kugombea urais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, hatimae mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel Daktari Denis Mukwege amewasilisha rasmi ombi lake kwenye tume huru ya uchaguzi nchini humo. Hata hivyo kumekuwa na maoni mbalimbali kutoka kwa wakazi wa nchi hiyo.