- 232 viewsWaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken Jumatano alichagua chombo kisichotarajiwa cha diplomasia – guitar lake. Shabiki wa muziki wa kipindi chote cha maisha yake ambaye amegeuka kuwa mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani alionyesha ujuzi wake wa kucheza guitar wakati akizindua juhudi mpya za diplomasia ya muziki itayotumiwa na Marekani kupeleka wasanii maarufu nchi mbalimbali, ikiwemo China na Saudi Arabia. #US #music #China #saudiarabia #blinken #voanews#diplomacy #DepartmentofState - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani akicheza guitar kujenga diplomasia
- 17 May 2024 - A vaunted 'new era' of strategic partnership between Russian President Vladimir Putin and his counterpart Xi Jinping begun in Beijing on Thursday may not exactly have been sealed with a kiss, but it did lead to rare hugs between them.
- 17 May 2024 - Approximately 200 Kenyan police officers will be deployed to Haiti next week as part of the UN Security Council-backed security mission to Port-au-Prince.
- 17 May 2024 - Taiwanese lawmakers shoved, tackled and hit each other in parliament on Friday in a bitter dispute about reforms to the chamber, just days before President-elect Lai Ching-te takes office without a legislative majority.
- 17 May 2024 - The exits of these companies pose great financial implications for the job market.
- 17 May 2024 - He urged the people of Mt Kenya to unite and support one of their own.
- 17 May 2024 - The governor was given 7 days to issue clarity on the matter that has been greatly opposed by a section of Nairobi residents.
- 17 May 2024 - Two deaths came from fallen trees and one from a crane blown over.
- 17 May 2024 - "I'm with Kenyans, the Kenyans movement. We are in the streets," he said.
- 17 May 2024 - It was constructed and equipped at a cost of Sh1.06 billion.
- 17 May 2024 - Say they learned about the conference through media publications