Wanakijiji wa Kamolo Teso Kaskazini waathirika na mafuriko

  • | Citizen TV
    526 views

    Wanakijiji wa Kamolo katika eneo bunge la Teso Kaskazini kaunti ya Busia wameitaka serikali ya kaunti kuingilia kati na kuwaokoa kutokana na janga la mafuriko yaliyosababishwa na mto Kamolo kuvunja kingo zake. Mafuriko yameharibu mashamba na nyumba za wakazi hao.