Skip to main content
Skip to main content

KEMRI yabuni mbinu ya kukabili konokono na vimelea Mwea

  • | KBC Video
    73 views
    Duration: 3:39
    Wanasayansi wa humu nchini wakishirikiana na wenzao kutoka Israeli wamezalisha kamba wa majini ambao wanaweza kutokomeza konokono na vimelea vingine ambavyo vimekuwa tisho kwa kilimo cha mpunga na afya ya wakazi huko Mwea katika kaunti ya Kirinyaga. Kamba hao waliozalishwa katika taasisi ya utafiti ya KEMRI wanatarajiwa kula mayai ya konokono na hivyo kukomesha kuzaana kwao, hali ambayo pia itasitisha msambao wa kichocho. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive