- 22 viewsDuration: 1:23Zaidi ya wakazi elfu-30 wa kaunti ya Kirinyaga wanatarajiwa kunufaika na huduma bora za maji safi kufuatia uzinduzi wa miradi 42 ya maji katika kaunti hiyo. Miradi hiyo itakayotekelezwa katika wadi zote 20 itajumuisha visima vya maji, mitambo ya kawi ya miale ya jua, upanuzi wa mabomba ya maji na kukarabati matangi ya kuhifadhi maji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive