Skip to main content
Skip to main content

Mpango wa kurejesha hadhi ya msitu wa Mau wazinduliwa jijini Nairobi

  • | KBC Video
    106 views
    Duration: 3:31
    Mradi wa mwongo mmoja unaolenga kurejesha mifumo ya ikolojia na hadhi ya msitu ulioharibiwa wa Mau umezinduliwa jijini Nairobi. Awamu ya kwanza ya mpango wa kuurejesha msitu huo ikiongozwa na katibu katika wizara ya mazingira Festus Ng’eno inalenga kushughulikia zaidi ya hekta 3,000 za msitu huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive