Skip to main content
Skip to main content

Kenya kuandaa kongamano la kwanza la uchafu wa kielektroniki na uvumbuzi

  • | KBC Video
    15 views
    Duration: 2:05
    Kenya imekuwa mwandalizi wa kongamano la kwanza kuhusu uchafu wa kielektroniki na uvumbuzi wa vifaa vya kielektroniki katika juhudi za kutafuta suluhu la changamoto za usimamizi wa uchafuzi huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive