- 8 viewsDuration: 2:41Angalau wavumbuzi ishirini walikusanyika jijini Nairobi kwa shindano la kiteknolojia kwa jina Code for Democracy lililoandaliwa na vuguvugu la Nuru Trust Network kupitia ufadhili wa shirikisho la kimataifa kuhusu demokrasia. Kongamano hilo lilipangwa sambamba na Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, likiwaweka vijana kifua mbele kwenye mchakato wa demokrasia nchini Kenya.\ Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive