4,146 views
Duration: 1:22
"Ni maoni yangu kwamba wafungwa hawakuwa tu adui wa mkuu wa nchi lakini pia walikuwa maadui wa Wazambia wote," - Hakimu
Mahakama nchini Zambia imewahukumu wanaume wawili kifungo cha miaka miwili jela kwa kujaribu kutumia uchawi kumuua Rais Hakainde Hichilema.
Mzambia Leonard Phiri na Msumbiji Jasten Mabulesse Candunde walitiwa hatiani chini ya Sheria ya Uchawi baada ya kukamatwa mwezi Disemba wakiwa na hirizi, akiwemo kinyonga hai.
@frankmavura anatuelezea
#bbcswahili #zambia #ushirikina
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw