Skip to main content
Skip to main content

Serikali itawalipia SHA Wakenya milioni 2.2 wasio na uwezo

  • | Citizen TV
    4,540 views
    Duration: 3:02
    Serikali itawalipia wakenya milioni 2.2 wasiojiweza gharama ya bima ya afya ya jamii - SHA. Rais William Ruto amezindua mpango huo ambao utafaidi familia elfu 558 kote nchini. Rais amesema hatua hiyoinalenga kuhakikisha kuwa kila mkenya anapata huduma bora za matibabu. Na kama anavyoarifu Emily Chebet, watakaofaidika na mpango huo hawatahitajika kulipa chochote hospitalini.