Skip to main content
Skip to main content

Maandamano yaibuka Nyeri kufuatia matamshi ya gavana Kahiga kuhusu kifo cha Raila

  • | Citizen TV
    49,268 views
    Duration: 2:46
    Maandamano yameshuhudiwa mjini Nyeri kufuatia matamshi ya Gavana Mutahi Kahiga kuhusiana na kifo cha hayati Raila Odinga. Muungano wa vyama vya upinzani ukijitenga na matamshi ya Gavana Kahiga na kusema msamaha wake hauna ukweli. Haya yanajiri huku kanisa la kipentekosto likimpiga marufuku gavana Mutahi kwenye madhabau yake