Skip to main content
Skip to main content

Rais azindua mpango wa kufadhili huduma za SHA

  • | KBC Video
    22 views
    Duration: 3:36
    Katika jitihada za kufanikisha utaoji huduma bora ya afya kwa wote, serikali imezindua mpango wa kuwasidia zaidi ya wakenya milioni 2.2 wasiojiweza kujisajili kwa halmashauri ya afya ya jamii ,SHA. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango huo, rais William Ruto alisisitiza umuhimu wa kukumbatia mfumo wa kidigitali ili kuimarisha uwazi na ufanisi katika utoaji huduma za afya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive