- 11 viewsDuration: 2:07Mgomo wa wauguzi katika kaunti ya Siaya umeingia siku ya tatu leo, wahudumu hao wa afya wakiandamana na kuishutumu serikali ya kaunti kwa kupuuza malalamishi yao. Wauguzi hao wanasema kucheleweshwa kwa mishahara na kutowasilishwa kwa michango yao kwa asasi mbalimbali kumewasababishia masaibu mengi mno. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive