Skip to main content
Skip to main content

Ruku: Muturi na Kivuti wanapotosha jamii ya Mbeere Kaskazini

  • | KBC Video
    68 views
    Duration: 1:17
    Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku amemkosoa aliyekuwa spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi na aliyekuwa Seneta wa Embu Lenny Kivuti, akiwashutumu kwa kupotosha jamii ya Mbeere na kuiingiza kwenye siasa za upinzani. Akiongea wakati wa mkutano wa hadhara huko Kavengero, eneo la Mbeere Kaskazini, Ruku alihoji ni kwa nini Muturi na Kivuti, ambao wote walikuwa wameshikilia nyadhifa kuu serikalini, sasa wanajaribu kupotosha jamii hiyo na kuifanya itengwe kisiasa.Maelezo zaidi ni katika taarifa yake Gichuki Wachira. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive